MTUNZI: AMMI CYPHER
AGE…(18+)
Ilipoishia…
“Hata kama Rose, lakini bado mimi ndiye rafiki yako wa pekee, kama ungepatwa na jambo kubwa zaidi ya hili mimi ndiye ningekuwa wa kwanza kuulizwa, hayaaaaa twende mbele turudi nyuma shosti, nani ni muhusika wa hili jambo?
ENDELEA NAYO:
“Jack bwanaaaa hahah ha!!! Na hapo ndipo nilijua unapoelekea, kwani si ungeniacha nipumzike hata kidogo then tutazungumza”
“Aaaah!!! Rose usije ukaniambia muhusika wa hiki kiumbe ndo yule yule bwana ambaye alitokomea mitini na kazi akaacha”
“Ndo huyo huyo jack, unadhani kuna mwingine sijawahi kutoka na mwanaume mwingine tangu kupotea kwake na unanijua vema”
“Maskiini Rose, pole sana rafiki yangu kwahiyo yeye anafahamu kama una kiumbe chake?”
“Hajui chochote maana hii hali nimekuja kugundua siku za mbele kabisa baada ya kupotea kwake”
“Yani ndio maana kila siku Ndasi akiniita gheto kwake nampa kalenda tu, nimalize mitihani yangu ya mwisho nikapambane huko mbele kwa mbele”
“Hahaha ha!!! We sema ukapambane mbele kwa mbele, wakati ofa zake za lunch kila siku una attend, hakuna vya bure shostii kuna siku utavilipia, em ngoja mi nipumzike maana wewe ukianzishaga mada mpaka atokee mtu wa kuikatisha”

*********
“Yeaah ba..b…y, aaaassh, mmh oops, endel...ea hap..o ha..p..o, ulikuwa ni ukelele wa huba aliokuwa akiutoa Careen akiwa amejikunja kama herufi V kitandani huku Daniel akiwa nyuma yake amekamilisha umbo kwa pamoja wakatengeneza herufi K.
“waaaalah..!! si..ku..a..ch..i Daaa..nny unanipatia sana” Daniel hakuwa na majibu wala neno kwa wakati huo alikuwa anaelekea kufika akazikusanya nywele za Careen akazijaza mkononi, huku mkono mwingine akaupitisha kiunoni akamvuta upande wake wakaunganisha miili yao kwa pamoja.
“Baby kwa hali ya sasa ilivyo, yani mimi nipo tayari kufanya kazi ya aina yoyote haijalishi itakuwa ni ya kutumia nguvu kiasi gani, ona saizi kukaa tu ndani mpaka nimeanza kutoka kitambi” Daniel akaanzisha maongezi baada ya kumaliza shughuri yao pevu,
“Kazi ya aina yoyote, upo tayari kuifanya - una uhakika Danny?
“Trust me baby, yani kama kuna sehemu umesikia wanataka mfanyakazi hata wa kutunza bustani mi nipeleke nitafanya kwa moyo mmoja”
“Kwa kuwa umeridhia mwenyewe kwamba uko tayari kufanya kazi yoyote, basi mi kauli yako hiyo nimeichukua na nitaifanyia kazi”
Wakajikuta wamerudi mchezoni upya kila mtu akionesha ufundi ni kwa jinsi gani ana uwezo wa kulisakata rhumba.
Siku iliyofuata jioni, Daniel akiwa sebuleni anakula Careen akaingia,
“Baby yani kabla hata sijafika hapo mlangoni nimeisikia harufu ya chakula nikajua labda ni nyumba ya jirani kumbe ni humu ndani, nambie ukweli nani kaja kukupikia” akauliza Careen kwa kutania huku akipunguza baadhi ya nguo mwilini,
“Na siendi kuchukua kijiko kingine tutatumia hiki hiki wote”
“Wewe tena ukiamua kitu, kwani kuna mtu anaweza akakuzuia”
“Baby, unapenda kunisingizia kila sikuuuu, by the way tukimaliza kula jiandae kuna sehemu nataka twende.
“Ukimaliza labda, mi kitambo nilikuwa nishamaliza uvivu tu wa kuinuka hapa kwenda jikoni” akaongea Daniel huku akiinuka kwenye kiti,
“Ngoja basi nijiandae, so navaaje kwani nipe muongozo,”
“Aaaah Daniel, vyovyote tu ila tisheti na jinzi naamini ni poa zaidi”
“ Sawa baby, dakika sifuri tu, kama upepo” akaingia chumbani akaoga, akavaa akapangilia vyema mana ni kitambo hajatoka nje alimisi sana mambo yake ya kupiga pamba,
“Niko tayari nadhani tunaweza kwenda”
“Nakuona, yaani utadhani nilikwambia vaa kama hutokuja kuvaa tena, Aisee si kwa kunikomesha huko”
Safari ikaanza, Wakatoka hapo wakanyoosha miguu mpaka barabarani, Careen akampigia simu rafiki yake Nguza akafika kuwachukua wakaingia kwenye gari kuelekea town, safari yao ikaishia nje ya casino moja, wakashuka wakaongoza mpaka ulipo mlango wa kuingilia ndani ya casino, kulikuwa na ulinzi wakakaguliwa kama wana kitu chochote cha hatari, kisha baada ya kukaguliwa wakazama ndani,
Daniel hakuamini baada ya kufika ndani, kwani vitu alivyokuwa akivishuhudia kwa wakati huo alizoea kuviona kwenye movie za wazungu, wadada waliokuwa wamevaa vi bikini walikuwa wamezagaa kila kona ya jumba hilo wakionesha ustadi wa kuzungusha viuno vyao kwenye nguzo, na huku vibopa wenye pesa zao wakifika mbele na kuwatunza, akabaki kushangaa shangaa bila kutembea mpaka pale aliposhituliwa na Careen,
“Daniel vipi mbona umebaki nyuma, hilo silo lililokuleta huku” akaacha kutizama huku akimfuata Careen aliyekuwa mbele yake pamoja na Nguza wakikatiza katikati ya watu kuelekea upande wa nyuma wa Casino hilo huko wakakuta mlango Nguza akabonyeza baadhi ya namba mlango ukafunguka wakaingia ndani,
Huko wakakutana na Mzee wa makamo akiwa na kiko katika kinywa chake, anameza moshi mdomoni kisha anautolea puani, mezani yamepangana mabulungutu ya noti huku pembeni akiwa na walinzi wawili,
“Mmefika japo kwa kuchelewa, haya hayakuwa makubaliano yetu” akasema mzee huyo baada ya kupiga pafu moja la moshi
“Samahani boss, hii barabara ya samora kuna foleni kubwa sana kipindi cha jioni na ndio njia tuliyokuja nayo” akajaribu Nguza kujitetea
“Huyo ndo yule kijana uliyeniambia asubuhi? Mzee huyo akauliza huku akimtizama Careen
“Ndiyo boss, nadhani ataweza kazi” Careen akajibu, muda huo Daniel anashangaa ni nini wamekifuata mahala hapo na kwanini wanamzungumzia lakini akavuta subira,
“Kama kawaida ya kanuni zetu ni lazima apewe mtihani ili kupima ujasiri wake”,
“Lakini boss huyu hana shida, kwanini asianze kazi moja kwa moja”
“Ni mwiko kusaliti kanuni zilizowekwa Careen na unalijua hilo, Nguza embu mlete yule kuku wa Mnyambuda gang aliyejaribu kwenda kinyume na makubaliano ya biashara akataka kutugeuka”
“Sawa boss” nguza akaenda kwenye moja ya chumba kilichopo katika eneo hilo akatoka akiwa anamkokota mtu aliyechafukwa na damu mwili mzima kwa kipigo kikali huku mtu huyo akiwa kainamisha kichwa chini,
“Fuba ebu mpatie kijana silaha” Mzee huyo akamuamuru mmoja wa walinzi wake, Mlinzi mmoja akasogea mpaka alipo Daniel akampatia silaha, Daniel hakutaka kupokea kwani kila kilichokuwa kikitokea hapo kwake ilikuwa ni kama mchezo wa maigizo,
“Baby!!! Kwani nini kinaendelea hapa mbona mimi sielewi, kwani hapa ndipo ulikusudia kunileta baada ya kusema nijiandae?
“Daniel kumbuka, hii ndio ile kazi yoyote ambayo uliniambia upo tayari kuifanya jana usiku”

0 Comments: