Monday, November 11, 2019

JIRANI, CHUMBA CHA PILI (12).


MTUNZI: AMMI CYPHER
AGE…(18+)
Ilipoishia…
Asubuhi kulipopambazuka akaona ni vema kwa moyo wake kufanya maamuzi magumu, ambayo aliamini hiyo ndiyo njia salama ya kumuweka huru,
ENDELEA NAYO:
Aliwaza kwa kina, kwamba ataishi maisha hayo mpaka lini, alidhani kuondoka kwake asubuhi na kurudi usiku ingekua suluhisho la visa vya shemeji yake, lakini haikuwa hivyo. Katika watu alikuwa akiwaheshimu katika maisha yake ni pamoja na rafiki yake Barnabas mwakalukwa, aliamini akiendelea kuishi hapo basi angevuruga urafiki wao,
Akachukua karatasi na kalamu akaamua kuandika ujumbe uliosomeka,
”KAKA UMEKUA MSAADA MKUBWA SANA KWANGU, HAPA KATIKATI TANGU MAISHA YANGU YAMEVURUGIKA UMENIONESHA MAANA YA URAFIKI WA KWELI.
NDOA YAKO BADO CHANGA SIPASWI KUKUBANA NGOJA NIENDE MBELE NIKAPAMBANE,
KILA LA HERI NDUGU YANGU.
Akamaliza kuandika akaikunja karatasi hiyo vizuri akaiweka juu ya meza mahali panapoonekana kwa urahisi, akachukua baadhi ya vitu vyake ikiwemo simu, ingawa hakuwahi kuiwasha tangu tukio la kufumaniwa na mke wa mtu limkute aliamini kwa vyovyote vile kupitia simu yake hiyo Mr Kikoti angeweza kum-track na kufahamu ni mahali gani alipo, siku hiyo akaamua kuikumbuka alipotoka nje ya nyumba hiyo aliiiwasha akaangaza huku na huku hakuona usafiri wowote akasogea mpaka barabara kuu akaamini huko atakutana na usafiri,
Ziliingia meseji nyingi sana mfululizo kiasi kwamba mpaka simu ikashindwa kufanya kazi vema ikawa inastack, hakutaka kuzitiilia maanani meseji hizo akaizima akairudisha mfukoni akaendelea kusonga huku hajui anaelekea wapi,
Pipiiiiiiii!! “Kaka vipi unaenda? Ilikuwa ni sauti ya honi ya pikipiki ikifuatiwa na sauti ya dereva bodaboda aliyekuwa anapita kando ya Daniel kuwahi kwenye shughuri zake za kila siku alfajiri hiyo,
“Yeaah twende” akasema Daniel huku akiongeza mwendo kuifuata bodaboda ile,
“Unaelekea wapi”
“Twende zetu wilolesi, Aaaah au nipeleke kihesa” Daniel hakuwa na uhakika wa safari yake hiyo mpaka muda huo hakuwa amefanya maamuzi sahihi ya wapi anaelekea.
***********
“Careen ni lazima tuwe makini na hizi ishu, si umeona juzi Carlos alivyodakwa na ma mwela mpaka leo bado yuko lupango, na ukidakwa boss mpaka aje afanikiwe kukuchomoa mbona umesota sana ndani”
“Sawa Nguza, ilo nalo neno tuongeze tu umakini katika kazi, acha mi nipumzike wahi kwako najua demu wako yule mchaga atakuwa anapresha sana mana ni wiki hajakutia machoni” Akasema Careen huku huku akimtoa nje nguza, akafunga mlango akachukua mzigo ambao ni unga (madawa ya kulevya) waliotoka nao south afrika akaelekea nao chumbani lakini kabla hajaingia mlango wake ukagongwa, fasta kama upepo akaupeleka mzigo kwanza chumbani akautupia chini ya kitanda akarudi sebuleni akaita,
“Nguza!” akahisi huenda nguza ma mwela wamemshtukia wakati anatoka, wakaamua kula nae sahani moja, akaamua kuchoma kibanda na kuwapeleka kwake,
“Careen ni mimi” sauti kutoka nje ikasema, bado Careen hakuitambua sauti vyema akakaa nyuma ya mlango akazungusha funguo taratibu kisha akasema’
“Pako wazi Ingia” Jamaa alipoingiza tu kichwa akamdaka akamzungusha kisha akamkaba ‘super xo 360’ kwa nguvu zake zote,
“Haah Daniel Baby kumbe ni wewe, poleee polee Sikujua vipi sijakuumiza”
“Kohoo koh koooh!! Naomba maji ya kunywa mate yamekauka” kabali haikuwa ya kitoto Daniel akajikuta anakohoa mfululizo. Ilikuwa ni lazima Careen kufanya hivo ili kujihami dhidi ya Polisi au wapinzani wao katika biashara.
“Baby ulikuwa wapi siku zote hizi? simu yako haiko hewani, pale kwako nikaambiwa uliondoka bila taarifa, kazini kwako kwenyewe nilisikia umesimamishwa, vipi nini tatizo?
Akaongea Careen mkononi akiwa na glass ya maji akimpatia Daniel, akaipokea akanywa kisha akainuka kuelekea chumbani, Careen nae akawa nyuma yake walipofika cha kwanza Careen hakutaka tena story za ulikuwa wapi, sijui ulikuwa unafanya nini kitendo cha Daniel kufika nyumbani kwake sikuhiyo alijikuta magogoni kwake kumeanza kuwasha, mana ni siku nyingi amekuwa akimtafuta Danieli bila mafanikio, tangu balehe yake hakuwahi kukutana na mwanaume anayejua kukuna kama Daniel, Akaanza kuvua nguo zake akabaki na kufuli tu akamsogelea Daniel akamkumbatia kwa nyuma mana Daniel alikuwa anajiandaa kujitupa kitandani apumzike, lile joto la Careen likammaliza kabisa akajikuta amegeuka, wakaanza kubadilishana ndimi katika vinywa vyao ilipowakolea wakajikuta kitandani kila mmoja hana nguo huku Careen akionekana mwenye hamu sana ya mchezo, Careen akachukua nyoka wa Daniel akamtumbukiza mdomoni akafanya kama anamumunya hivi, muda huo wamelala 69 style yani Careen anacheza na nyoka huku Daniel anadeki bahari.
Baada ya kuandaana Daniel akamchukua Careen akamuweka kifo cha mende tayari kwa kula tunda la mti wa katikati,
“Ooops baby endelea kuingia, uwiii ahhhhhsss” kilikua ni kilio cha Careen baada ya Daniel kuingiza nyoka wake pangoni,
“Nyoosha mguu mmoja” akasema daniel huku akikizungusha kiuno chake, bibie akatii, Daniel akauchukua mguu mwingine wa Careen akauweka begani akaendelea kupampu,
“Uwiii mama, aaaaiis aaah aaah hapo hapo baby, nishike kiuno na..ku..j…..aaaa”
Daniel akamkumbatia kwa nguvu zaidi wakafika kwa pamoja
Previous Post
Next Post

0 Comments: