MTUNZI: AMMI CYPHER
AGE…(18+)
Ilipoishia…
“Hivi ni nini kiliendelea pale 255” aliwaza Betty
ENDELEA NAYO:
Aliwaza sana kisha akakata shauri, akamgusa huku akimtingisha yule mtu aliyekuwa kalala kando yake,
“Hey! We kaka”
Alipandwa na jazba kitendo cha kujikuta chumbani kwa mtu mwingine mbaya zaidi akiwa kaingiliwa kimwili, alipandwa na hasira mithili ya mbogo aliyepigwa risasi,
“We kaka, unajifanya hunisikii eeh, sasa hunijui vizuri nitakufanyia tifu ambalo hutokuja kusahau katika maisha yako yote”
Alizidi kupayuka Betty huku bado anamtingisha yule Lecture.
“Kumbe kumekucha, Betty vipi umeamkaje?
Betty hakutegemea kumuona lecture huyo anayemuonaga tu Chuoni hata salamu huwa wanapeana kwa mbali tu na Anamuonaga ni mstaarabu na mpole akashindwa kuelewa imekuaje mpaka akawepo eneo hilo.
“Imekuaje nikawa hapa? Likawa swali la kwanza kutoka kwa Betty
“Nilikukuta 255, umelewa hujitambui unashindwa hata kuendesha gari, vibaka wakawa wanataka kukufanyizia lakini nilipotokea wakakimbia, So kwakuwa ulikuwa huwezi hata kuongea sikuwa na namna nyingine zaidi ya kukuleta kwangu” alisema lecture huku akiongeza na baadhi ya uongo kuonesha wema wake
“Na vipi kuhusu kuniingilia” akasema Betty huku amemkazia macho lecture mwenzake
“Aaah! Nina imani hata angekuwa mwanaume mwingine rijali, asingefanya kosa kulala usiku kucha na mwanamke mrembo kama wewe bila kufanya kitu chochote, ujue wewe ni mwanamke mzuri sana ambae kila mwanaume ana wish sana kuwa nae” Jamaa akajaribu kujitetea
Betty hakuwa na namna nyingine tena kwani ndo tayari ilikuwa imekwisha kutokea, hata angepaniki isingebadili chochote.

**********
Ni mwezi sasa tangu Daniel ahamie katika nyumba hiyo si mgeni tena ashakuwa mwenyeji na amezoeana na baadhi ya wapangaji wa hapo, ni siku ya jumapili mapema Daniel akiwa anaanika nguo zake baada ya kufua,
“Kumekucha, jirani naona leo umeamka mapema kabisa” Aisha akasema akiwa kabeba nguo kwenye dishi tayari kwenda kufua.
“Ndiyo jirani, nikipata off kama hii lazima niitendee haki, si unajua tena kazi zetu hizi jumatatu mpaka jumamosi tupo kazini kwahiyo jumapili kama hivi ndo inakua siku ya kufanya mambo yetu yote”
“kamba zenyewe zimejaa, daah! jirani nguo zote hizi ni za kwako kwani?
“Ndiyo jirani kwani vipi?
“Aaaah hapana ni vile zipo nyingi sana, ngoja nilete kamba zingine unisaidie kufunga na mimi nianike za kwangu”
Aisha akasema huku akitua dishi lake chini akaingia ndani kisha akatoka na kamba pamoja na kiti,
“Jirani naomba unisaidie kushika hiki kiti basi vizuri nifunge kamba pale juu”
akasema Aisha huku akipanda juu ya kiti ili aweze kuifikia sehemu aliyokusudia kufunga kamba, basi Daniel akamsaidia kushika kiti, Aisha akiwa pale juu ya kiti basi Daniel akawa anamchunguza kwa makini kuanzia juu, alipofika eneo la bambataa hapo akagandisha macho kwa muda kidogo akitazama jinsi jirani yake huyo alivyofungasha mzigo,
“Daah kweli mungu muumbaji aisee, sasa hii ndo mizigo ya kuvunja chaga”
akajisemea ki nafsia, Akajikuta amekiachia kiti na kubaki anamkagua tu jirani yake huyo, Baada ya kumaliza kufunga kamba hizo wakati Aisha anashuka kwenye kiti ili aende kufunga upande mwingine ili kamba ielee angani, kiti kikatikisika kwa sababu Daniel alikuwa kanogewa kuyatazama maungo ya mwanadada huyo, Akajikuta anateleza lakini kwa bahati nzuri akaangukia mikononi mwa Daniel, Baada ya miili yao kugusana kwa sekunde kadhaa ki ubaridi fulani kikapita kati yao, Aisha akajikuta anatizama chini kwa aibu, huku akijitoa mikononi mwa Daniel na kwenda ndani kwake.
“Yani mwanaume ana joto huyu siyo siri, mpaka nimetamani akanishike tena” Aisha huku akitabasamu alisema, muda huo akilifikiria tukio lililotokea muda mchache uliopita.
“Ila hapana mimi nimeolewa ni mke wa mtu sipaswi kuongea maneno kama haya” Hapo akili yake ikachenji akayapotezea mawazo yake akarudi kwenda kufua.
Huku kwa Daniel yeye baada ya kufika ndani pepo la ngono likawa limemuingia sekunde zile zile, akavuta picha amemkunja Aisha kwenye kitanda anampa kitu kile roho inapenda,
“Huyu akiingia kwenye 18 zangu ameisha, japo ni mke wa mtu lakini mara moja tu siyo mbaya yani nitapiga na kusepa siweki makao” akazidi kujisemea.

*********
“Ila mke wangu katika wanawake wote, naamini wewe pekee ni mungu alikupendelea sana”
huku akikigusa kiuno cha mke wake bwana Sesemkwa akiwa kitandani na mke wake bi Aisha alisema, ni familia yenye miezi mitatu mpaka sasa tangu kuoana kwao, ni familia changa bado hawajabahatika kupata mtoto.
” Kwanini Sese” alijibu Aisha akilifupisha jina la mume wake bwana Sesemkwa, muda huo na yeye akicheza na garden love katika kifua cha mumewe.
“Siyo siri umeumbwa ukaumbika, nywele zako fupi za asili zinakufanya uonekane mrembo wa kiafrika kabisa, macho yako madogo ya duara kama round about ya clock tower, tabasamu mwanana hujui kununa, vinafanya nizidi kukupenda hata nikiwa kazini natamani tu kurudi mapema nyumbani niwe karibu yako”
“Hahaha ha mume wangu bhna eti round about ya clock tower unajua kusifia mmmmmh mwaaah”
akamkisi mdomoni kilichofuata hapo ni kuvuana tu nguo na kuingia dimbani tayari kulisakata tendo ambalo kati yao lilihalalishwa kanisani. Aisha akaanza kwa kuishika maiki ya Sese akaibusu mara tatu kisha akaitumbukiza mdomoni na kuanza kughani mashairi kwa ustadi mkubwa utadhani yuko dar live anaimba karioki,
Utamu aliokuwa akiupata bwana Sese akajikuta tu miguu inamuisha nguvu akaanza kutetemeka kwa utamu wa raha, hazikupita dakika mbili bwana Sese akaanza kutoa sauti za kiume
“Mmmh yeeeah”
Aisha alikuwa ashaelewa nini kinatokea hapo akaitoa maiki ya bwana Sese mdomoni wazungu weupe wakaruka mpaka kwenye kifua chake, kisha maiki ya bwana Sese ikatulia tuli, Aisha akajitahidi kuinyanyua tena walau aitumie kwenye shughuli nyingine za kisanii lakini maiki iligoma kabisa kunyanyuka, bwana Sese akasema
“Wife tutaendelea asubuhi tupumzike muda umeenda”
kisha akavuta shuka mpaka usoni na hapo hapo akaanza kukoroma, Aisha akasonya
“Yani mwanaume hata dakika tatu tu ni nyingi, ye mbili tu tayari ameshamaliza, hivi anadhani ndoa ni kusifiana uzuri nyoooh”
Akachukua simu yake akawasha data kisha kwenye browser akaandika “www.****.com walau ajaribu hata kujiridhisha kwa video za pilau, Lakini alipokumbuka tukio la asubuhi alivyoanguka kwenye mikono ya Daniel wakati wanafunga kamba, akamtazama mumewe ambaye alikuwa haelewi chochote anakoroma baada ya safari ya dakika mbili.
“Sijui atakua mwenyewe au atakua na demu, mana yule nae anabadilisha mademu kama nguo”
Akanyanyuka kitandani akavuta kanga akaizungusha kiunoni bila hata kuvaa kufuli akatembea kwa mwendo wa taratibu kwa kunyata akachezesha funguo, akakinyonga kitasa cha mlango akatoka nje.

0 Comments: