Tuesday, October 29, 2019

CHOMBEZO: TINA ZOA ZOA

Image may contain: 1 person, sitting and text
EPISODE 03
ILIPOISHIA
Ndani ya dakika kama arobaini nilikuwa tayari nipo chuoni 'Cbe' nilijitahidi kuweka tabasamu ili kuaficha wenzangu lakini kabla sijaingia geti la 'cbe' simu yangu niliokuwa nimeweka kwenye
begi ikaingia meseji kwa haraka haraka nikaichukua
Nakuanza kuisoma..
'..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI KWENU KUKUCHUKUWA TWENDE KWANGU..."
Nikaangalia mara mbili mbili kujua imetokea wapi, nikaja kugundua kuwa jina limeandikwa Jerry..

SONGA NAYO.

"..Aisha, Aisha Jerry yuko wapi..?"
Nilishtuka usingizini na kitu cha kwanza nikumuuliza rafiki yangu Aisha,
"..nawewe Tina kwa ndoto zako za mchana mchana tumeshakuchoka sasa, huyo Jerry ndio nani..?"
Maskini Tina mimi kumbe yote ile ilikuwa ni ndoto eti mpaka nimekutana na mdogo wake Jerry anaitwa Nyemo na mpaka nikamng'ang'ania kwenda ku sex naye duh..
Nilijichekea kimoyo moyo huku nikivuta kumbukumbu vizuri imekuwaje kuwaje ndoto hii, ndipo wazo likanijia kuwa mara ya mwisho Jerry alinipigia simu kuwa amepata dharura mara moja ataenda Temeke, hivyo nilikasirika nakurudi zangu mpaka bwenini nakubadili nguo zangu kisha nikajilaza ndipo usingizi uliponipitia nakuanza kuoto ndoto hizi..
"..natamani ingekuwa kweli..? Mbona huyo Nyemo angenitambua.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikichukuwa simu yangu nakutaka kumpigia Jerry, nilihangaika kuitafuta namba yake bila mafanikio lakini nikakumbuka kuwa niliifuta kipindi kile aliponiambia amepata dharura mara moja.
"...sasa namba yake nitaipata wapi..?"
Nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani huku muda wote Aisha akinitolea macho,
"..yeees..!! Furaha ilinirudia pale nilipokiona kikadi chake cha ofisini alichonipa kilikuwa kimeandikwa hivi,
"..Jerry .M. Ng'onye..
Asst... Supplies officer..
Fax ; +255 265451733
Mob ; +255 713 214656 "
Nikaikopi ile namba ya simu haraka haraka kisha nikai sevu upya nakumpigia..
"..mambo Jerry.."
"..enhe niambie Tina.."
"..jamani niambie basi unatoka huko saa ngapi mwenzako nimeshachoka hivyo kukusubiri.."
"..unaskia Tina, wala usijali yaani swala la kuonana na wewe lipo pale pale.."
"..nikuulize kitu Jerry..?"
"..uliza tu wala usijali.."
"..umeoa..?"
"..dah nadhani mwakani ndio nampango huo lakini kiukweli nina mchumba tu.."
Moyo ukanilipuka, huku nikijihisi vinyweleo vyangu mwilini vimesimama ama kupulizwa na upepo wa ghafla..
"..unaishi naye huyo mwanamke.."
Nijikaza nakumuuliza kwa makusudi..
"..hapana, yeye anaishi nakufanyakazi huko huko Tanga ila mie naishi peke yangu hapa Dar.."
"..Jerry huna mdogo wako..?"
Nilimuuliza kwa makusudi,
"..mh hapana, ila nina dada tu.. Kwanini umeamua kuniuliza hivyo..?"
"..amh, nilitaka tu kujua jamani, kwani ni vibaya Jerry..?"
"..ok, nina muda mfupi nitatoka huku Temeke, lakini itanibidi niunganishe moja kwa moja mpaka home nikabadili na nguo kabisa then tutatoka usiku kwa ajili ya 'dinner'.."
Furaha iliniongezeka mara mbili nailivyokuwa,
"..jamani Jerry, mbona mie niko tayari hata sasa si unipitie tu nikapajue na kw..."
Kabla sijamaliza kuongea simu ikakata, nikajua labda huenda Jerry amekasirika nilivyomwambia, lakini haikuwa hivyo kwani nilipouliza salio langu lilikuwa ni sh. 0.
Nikiwa bado najishangaa na kwa muda huu rafiki yangu Aisha alikuwa ametoka hivyo chumba chote nilibaki peke yangu mara simu ikapigwa..
"...nitajitahidi kupambana na foleni, naanza safari ya kuja hapo chuoni kwenu 'be prepared..'"
"..mie mbona niko tayari
ni wewe tu Jerry.."
****
Pedo nyeusi yenye vitundu vidogo vidogo, chini nikiwa na viatu vya chini huku kichwani nikiwa na wigi lakushonesha, blauzi yenye mistari ya pinki na nyeusi mikononi nikiwa na bangiri kubwa nyeupe na nyeusi ndivyo nilivyovalia huku nikiishikilia pochi yangu ndogo nyeusi.
Niliichukuwa simu yangu nakumpigia tena Jerry..
"..enhe niambie jamani umefika wapi..?"
"..ndio nakaribia maeneo ya Mnazi mmoja, nikukute kwa nje basi ili iwe rahisi kuendelea na safari.."
"..pouwa.."
Giza lilikuwa limeshazama ndicho kilichonipa ujasiri zaidi huku nikitoka nje kwa mikogo yote..
Haikuchukuwa muda nikawa nimeshaonana na Jerry, alionesha kuchoka sana kwa kazi ukijumlisha na mizunguko,
"..mh, hapa atake asitake leo lazima alale na Tina mie.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimlegezea macho Jerry huku akiendesha gari kuelekea kwake,
"..enh, niambie Jerry mbona kimya ghafla.."
"..unafikiri nina usemi basi, enh embu niambie we kabila gani..?"
"..mie ni mdigo mtu wa Tanga.. Wewe je..?"
"..mie mpemba, kwani unanionaje..?"
"..ndio maana, nywele, sura na weupe ulionao vinajitosheleza kujua.."
Stori zilinoga mpaka nikaona kama safari fupi, ilituchukuwa kama dakika 40 kufika anapoishi Jerry,
Jerry alikuwa anaishi jumba kubwa mwenyewe na mlinzi, tulipoingia ndani tu Jerry alipitiliza mpaka chumbani kwake huku Tina mie akiniacha sebuleni,
"..hajanijua tu.."
Nilijisemea peke yangu huku nikiyarekebisha maziwa yangu vizuri kisha nikainuka pale kwenye kochi nakuongoza mpaka chumbani kwa Jerry nakuanza kubisha hodi mpaka akafungua,
"..vipi unasemaje tena Tina..?"
"..am, mh, mh plizi Jerry unaniruhusu nikakuogeshe...?
"...anhaaa Tina embu acha utani wako huo..."
"...Jerry huniamini, au ndo unaona aibu..?"
Jerry alikuwa hajiamini amini kama Tina mie naweza nikamuuliza maswali yale na tena nikiwa 'siriaz' kabisa..
"..nikwambie kitu Tina.."
"..yap, niambie Jerry..!"
"..nakuomba, pliiz rudi ukanisubirie sebuleni, nioge fasta fasta tuondoke..."
Nilimwitikia kwa shingo upande huku nikijirudisha mpaka sebuleni.
Nilikaa kama dakika 2 nzima huku akili ikinihama kabisaaa, nikaona kama Jerry anachelewa kutoka, nikarudi tena mpaka mlango wa chumbani kwake kumgongea.
Nilipiga hodi bila majibu yeyote mpaka nikaamua kuufungua mlango nakuingia kwani bafu na choo kilikuwepo ndani ya chumba chake 'self container'..
Niligonga ule mlango wake wa bafuni bila majibu yeyote. Akili ikanituma nijilaze pale pale kitandani kwake akitoka atanikuta na lazima kitaeleweka tu.
Haikuchukuwa muda Jerry akatoka bafuni..
"..hee, Tina unafanyaje tena hapa..? Inamaana nilivyokuambia uende sebuleni hukwenda..?"
"..aku.."

"..Tina mie nlishakwambia kuwa ninajiheshimu na ninamchumba kwanini unanifanyia hivyo lakini..?"
Jerry alilalamika mpaka nikaingiwa na moyo wa kutoka mule chumbani..
"..Jerry wala usiwe na hofu na mie jamani, kwanza mie mwenyewe nina mchumba na hapa nilipo na 'bleed'.."
"..sawa nimeshakuelewa Tina nenda basi sebuleni.."
Niliondoka nakumuachia uhuru Jerry ili avae nguo..
Ndani ya dakika kama 7 tayari Jerry alikuwa ameshavaa nguo tena amependeza, nywele zake zilikuwa zinang'aa sana na weupe alionao ndio ulionidatisha sana Tina mie..
"..haya nipo tayari sasa Tina twende.."
"..kabla hatujaondoka Jerry pliz nisaidie kitu kimoja.."
"..kitu gani tena..?"
"..kiss! Jerry kiss yako tu ndo ninahitaji.."
"..Haa haa haa hicho ndo unachohitaji..?"
Jerry alikuwa hajanielewa mchezo gani ninaotaka kumchezea, alinipiga busu la shavuni mpaka nikajihisi niko dunia nyingine..
"..one more Jerry..(Jerry tena..)"
"..umeshaona raha enhee.."
Jerry alinibusu shavuni, nikampa na mdomoni akanibusu..
"..Jerry naweza na mie nikakubusu..?"
nilimuuliza kiuchokozi
"...yeah"
Nilitumia mwanya huo huo kujifanya kama nammbusu mdomoni, hapohapo nikatoa ulimi nakumdumbukizia kwenye mdomo wake naye nikamshuhudia akinipa denda lililonifanya mwili wangu wote usisimke ghafla huku nikiyafumba macho yangu nakutoa pumzi ya kimahaba..
Je nini kiliendelea? TUZIDI KWENDA SAMBAMBA
Previous Post
Next Post

0 Comments: