Tuesday, October 29, 2019

CHOMBEZO: HOUSE GIRL WA DADA

Image may contain: 2 people, people sitting and textEPISODE 1
Alice alikuwa msichana mrembo sana ,moyo wangu ulienda mbio Mara baada ya kumuona alikuwa kwenye uso mrefu,na mwembamba mweupe na mwenye macho ya kupendeza ukiimuangalia kwa macho ya nyama.
Aliongea kwa sauti ya upole hakika nilianza kumpenda Alice japo ndiyo ilikuwa siku ya kwanza tu Mimi kufika pale kwa Dada yangu baada ya kumaliza masomo yangu ya kidato cha sita, Kwa muda huo sikuweza kupata nafasi ya kuongea na Alice kitu chochote nilibaki kumuangalia Alice alivyokuwa akipita mbele yangu pale sebuleni,
Usiku ulifika na chakula kililetwa mezani tulikaa na kuanza kupakua chakula kutoka kwenye hotpot kubwa nilianza kustaajabu baada ya kumuona Alice ambaye ndiye housegirl mle ndani akipakua chakula kichache sana ambacho hata mtoto mdogo anamaliza na asishibe.
Nilianza kuongea nae pale na nilimuuliza Alice mbona umepakua chakula kichache,huwezi kushiba ongeza chakula.
Alinijibu na kusema atashiba ,lakin jibu lake sikuweza kukubaliana nalo nilivuta hotpot pale mezani na kumuongezea chakula kwenye sahani yake nikachukua glass na kummiminia juice .
Wakati namuongezea chakula na kummiminia juice kwenye glass aliniangalia kwa jicho la chinichini na nilisikia sauti ya Dada kutoka pembeni.
Huyo ndivyo alivyo siku zote hali chakula sana anakula kidogo tu na kudai ameshiba sijui anaogopa nini? Sikuweza kumjibu Dada yangu nilikazana tu kumuhimiza Alice ale chakula.
Inatosha kaka alisema alice.
Kweli? Nilihoji
Ndio! alinijibu
Tulianza kula pale mezani huku nikiwa namuangalia housegirl yule kwa jicho flani la kuibia asije kugundua kuwa namuangalia sana,Mara tulikutanisha macho nae aliinama na kutabasam
"Nimeshiba "alisema Alice
"Mmmmmh!! Alice Mara hii umeshiba? ."
"Ndio kaka nimeshiba"
"Kumbuka wewe ndio mpishi wa chakula hiki yakupasa ule ushibe au unaniogopa Mimi?"
"Ahahahahahaha!! Hapana Clifford Mimi nimeshiba kweli."
"Ok fine Alice,"
Nilibaki peke yangu mezani namalizia chakula changu Alice aliinuka na kuanza kutoa vyombo mezani, Wakati anatoa vyombo alikuwa amevaa blauze pana kidogo kwa mbele kifuani hivyo matiti yake yalikuwa yakionekana yalivyo madogo na yakufaa kunyonywa maana yalikuwa yenye chuchu nene niliyatazama kidogo lakin aliniangalia na kutabasam na mm nilimrudisha tabasam la nguvu na kumtolea ulimi nje,.
Aliondoka pale mezani na Dada yanguuuu alikuja na kuanza kumfokea ..
"We Alice mbona meza chafu?."
Chukula kitambaa uje usafishe haraka na pia upitishe dekio hapa sebuleni sawa. Fanya harakaaa Muone unatembea polepole tu.
Baada ya kusikia sauti ya kumfokea Alice kutoka kwa Dada yangu niliinuka na kuanza kumsaidia Alice maana alikuwa ameambiwa kufanya kazi nyingi kwa muda mfupi alafu yalikuwa masaa ya kulala.
Alice aliniangalia sana maana hakuamini Kama ningefanya vile mbele ya Dada yangu maana Mimi nilikuwa nadekezwa sana nyumbani kwetu na kwa Dada yangu pia lakin siku hio nilimsaidia housegirl wa Dada yangu Alice alichukua dekio na kuanza kudeki aliinama na kusababisha sketi yake kupanda kwa juu kwa nyuma, makalio yake meupe yalionekana yalivyokuwa yamejazia na manene yenye mistari flani ivi duuuuuuu alinihamasisha kuendelea kuwaza kumsugua .
Alice alimaliza kudeki na Dada yangu alinikabidhi funguo za chumba changu maana ilikuwa ni nyumba kubwa sana yenye vyumba Vingi kidogo chumba changu kilipakana na chumba cha Alice muda huo niliingia chumbani kwangu na kulala lakini nilikuwa namuwazia Alice jinsi ya kufanikisha kumsugua maana alikuwa Ana umbo nzuri sana..
Nilipitiwa na usingizi na mida ya saa nane usiku nilistuka kutoka usingizini na niliweza kusikia sauti kama watu wanaongea chumbani kwa Alice nilisikiliza kwa umakini sana na niliwaza kulikoni sauti hizi zinatokea chumbani kwake maana zilikuwa sauti za watoto wadogo na mama yao nikawaza kwani alice ana mtoto mdogo? Mbona mchana sijamuona mtoto wake? Niliwaza sana na kutaka kuamka kwenda kumgongea mlango lakini moyo ulikataa nikalala zangu na kuacha sauti zile zikiendelea chumbani kwake.
Asubuhi ilifika alice aliwahi kuamka na kuendelea na kazi zake Kama kawaida alikuja kuniamsha na kunikaribisha chai niliamka lakini nikata kumuuliza kuhusu sauti zile za usiku nakutaka kujua Kama anamtoto wazo likaja gafla na kusema ngoja niache tu
Niliingia bafuni na kuanza kuoga nilivyomaliza nilielekea mezani kunywa chai nikiwa nimevaa vest nyeupe na kifua changu kilikuwa kinaonekana kikubwa na kipana kidogo chenye gadern love za kiasi na Dada alikuwa hayupo ndio maana nikavaa vile
Alice alikuja mezani na nilianza kumuuliza maswali kadhaa "vipi kwenu wapi?"
Mimi kwetu kagera.alijibu .
Ooooh kumbe wew muhaya?
Hapana mimi sio Muhaya ni Mnyambo!
"OOh sawa"
"Kwanini umeniuliza hivyo" aliuliza Alice
Nikajibu asili yenu ni wazuri Kama ulivyo wewe.
"Ahahahahahaha!! Kawaida Clifford mimi sio mzuri ."
"Mi ndio ninaye kuangalia wew ni mzuri huo ndio ukweli" .nilisema
Alice alicheka sana asubuhi ile .Tulikunywa chai tulimaliza kwa muda huo alice alikula kiasi kwamba nilimshangaa maana haikuwa kawaida yake kula sana.
Mchana ulifika chakula kiliandaliwa Kama kawaida alikuja kuniita chumbani alivyoingia chumbani kwangu nilimkalisha kitandani kwanza na kusema naomba uweke baraka kitandani kwangu maana uzuri wako unanipa faraja sana Mara nikuangaliapo
Clifford Dada yako atanikuta humu chumbani kwako atanifokea sana ujue, twende ule bwana nilimchezea huku akilalamika kuwa hataki wakati tuko chumbani nilimsikia Dada akiongea na simu akiwa bado yuko nje nilimtoa chumbani huku alikuwa ameshaanza kulegea.
Je nini kiliendelea? CHOMBEZO IENDELE AU ISIENDELEE..
Previous Post
Next Post

0 Comments: