MTUNZI: AMMI CYPHER
AGE…(18+)
Ilipoishia…
Baada ya kukaa ndani kwa siku tano bila kwenda kazini, hatimae sikuhiyo alikata shauri akiwa kwenye bodaboda kuelekea kazini alipofika karibu na geti la kuingia chuoni alishtuka akamwambia bodaboda asimame aliona kitu cha utofauti kidogo,
“Broo embu nirudishe tu nyumbani” alisema Daniel akimuamuru dereva
ENDELEA NAYO:
Daniel hakuamini macho yake alipomuona Mr Kikoti na genge wakitoka ndani ya geti la chuo akaikumbuka ile sauti ya mzee huyo pale hotelini
“Kijana hili halijaisha, nitakula na wewe sahani moja mpaka dakika ya mwisho”
Hapo ndo akajua kuwa siku zote ambazo amekuwa akijificha kwa rafiki yake Barnabas, mzee huyo amekuwa akimuwinda pale sana chuoni, hapo ndipo akajua dunia sasa imemuelemea alipokua akiondoka eneo hilo akamshuhudia Mr kikoti akitawanya kikosi chake ili kuhakikisha Daniel anaingia kwenye kumi na nane zake.

*********
Baada ya wiki mbili Daniel alipokea barua ya kusimamishwa kazi kutokana na utoro kazini na hiyo ilitokana na kutokufika kazini kwa muda mrefu bila kutoa taarifa, Kikosi cha Mr Kikoti kiliendelea kuranda randa pale maeneo ya chuo kuhakikisha kinamtia nguvuni Daniel.
Akawa ni mtu wa kushinda tu nyumbani kulala, kuamka akamsisitiza rafiki Barnabas asichoke kumtafutia kazi ofisini, mana mziki wa kuishi bila kazi pale mjini aliuelewa vema,
Ubishoo na ujentlemen akauweka pembeni akawa akiamka asubuhi anachukua ufagio anatoka nje anafagia uwanja, anamwagilia maua kisha ndipo anarudi chumbani kuendelea na kazi zake,
“Shemu si nilisema uwe unaacha tu mi nitakua nafagia” alisema monica baada ya kuamka na kumkuta Daniel anafagia uwanja, siku hiyo alipanga aamke mapema afanye usafi wote wa nyumba nzima lakini jitihada zake zikagonga mwamba baada ya kukuta daniel ameamka mapema kuliko yote”
“Aah haha ha!! Shem bhna hata usijali kuhusu mimi napenda tu kufanya usafi, ni sehemu ya furaha yangu, kwahiyo ondoa shaka kabisa juu yangu”
“Sawa shemu, maadam ni wewe ndo unapenda” akasema monica huku akiingia jikoni.

***********
“Mke wangu, em jiandae nikupitishe pale pale hospitali ninapoelekea kazini ukaanze clinic mana tumbo lako limeanza kukua” yalikuwa na maneno ya Bwana Sese akimwambia mkewe Aisha, alishaamua kubeba jukumu la ubaba mana yule ni mke wake na kiumbe kilichopo tumboni wala hakina hatia yoyote, Mhusika wa kiumbe alishapotelea wala hakuwahi kurudi tena kwenye nyumba hiyo, na kila Aisha alipokuwa anampigia simu Daniel hakuwa akipatikana, wakaamua kuimarisha upendo kati yao na kuishi kama hakuna kitu ambacho kimewahi kutokea siku za nyuma.
“Sawa mume wangu ngoja basi nivae lile della langu la maua, mana ni siku nyingi sijalivaa na ulisemaga huwa linanikaa vema”
Baada ya kumaliza kujiandaa, Walipokuwa wanatoka wakakumbana na binti anaingia pale uwani kavaa kimini, top iliyoacha wazi kitovu chake nje,
“Samahani kaka na dada habari zenu, namuulizia kaka mmoja hivi anaitwa Daniel anaishi chumba kile pale” akauliza dada huyo
“Kwani mlango wake si umefungwa au wewe ni kipofu huoni” akajibu bwana Sese kwa ukali, katika kitu hakuwa akipenda kabisa kukisikia ni habari za Daniel
“Mdogo wangu huyo mtu ni muda mrefu kidogo haonekani hapa, hatuelewi kama amehama au lah!” akajibu Aisha hakupenda tabia ya mume wake, yule dada akashukuru na kuondoka, Kile kitendo kikamkasirisha bwana Sese akasema,
“Kumbe bado unaonekana kumjali huyo mtu, basi hata huko clinic atakuja kukupeleka yeye” akaongeza mwendo kuondoka na kumuacha mke wake nyuma.

********
“Daniel sema unanipa au hunipi” Monica ndani ya kanga moja, ametoka kuoga akiwa chumbani kwa Daniel alikuwa akiongea kwa jazba
“Shemu namheshimu sana Barnabas ni kama ndugu yangu siwezi fanya kitu kama hicho, utanisamehe sana” Akajibu daniel huku akitetemeka, hakutegemea kama shemeji yake huyo anaweza kumtaka kimapenzi,
“Si unajifanya mjanja eeh, basi Mume wangu akirudi nitamwambia ulitaka kunibaka na umekuwa ukinitongoza kwa muda mrefu, ulipoona nimeshikilia msimamo wangu ndipo ukajaribu kunibaka, sasa tutaona kati ya mimi na wewe nani ataibuka mshindi”
“Hapana hapana shemu huko utakuwa unafika mbali sana, please don’t do such thing (tafadhali usifanye hiko kitu)”
akasema Daniel huku amepiga magoti, monica alipoona Daniel anashikilia msimamo wake akafungua pindo kifuani akaiachia kanga ikadondoka mpaka chini na ndani hakuwa na chochote alikuwa kama alivyozaliwa

0 Comments: