Sunday, November 3, 2019

CHOMBEZO: TINA ZOAZOA

Image may contain: 1 person, text
EPISODE : 05
MTUNZI: SIMBA MPOLE
ILIPOISHIA
Nilimvuta mkono vile vile
alivyokuwa uchi kisha
nikaongozana naye mpaka
chumbani kwake.

SHUKA NAYO SASA
Na tulipofika tu
zoezi la kushikana likaanza upya.
Ndani ya muda mchache Jerry
alionekana kulegea zaidi
yangu mie, hivyo nikamkabidhi
mwili wangu wote auchezee
anavyotaka..
Alikuwa anapapara sana kwani
ndani ya muda mchache tayari
alikuwa akitafuta bao la pili..
Alinifanya nijisikie tofauti sana
kwani kiukweli Jerry nayeye
anajua kukatikia haswa tena kila
pembe..
Tulivyomaliza tu Jerry akawa
amechoka sana hivyo akapitiwa
na usingizi nakuniacha pale
kitandani usingizi ukininyemelea
taaratibu..

****
Nilishtuka usiku sana na
kilichonifanya nishtuke ni
maumivu niliyokuwa nikiyasikia
kutoka nyuma kwangu..
"...Jerry? Jerry ndio nini
unanifanyia jamani..? Si
nilishakwambia sipendi mie.."
Jerry alikuwa nyuma kwangu
akiniingilia kinyume na maumbile
na mbaya zaidi alinikojolea
nakufanya minanii yake iteleze
mat** mwangu..
"..pliz Tina niache nimalizie.."
Nilimwangalia kwa jicho la hasira
huku kwikwi ikinibana na machozi
kuanza kunidondoka kwani
sijawahi kabisa kufanyiwa mchezo
huu tangu niwe play gal.
"...sitaki..?"
"..sasa kama hutaki toka ndani
kwangu tokaa.."
Jerry alinibadilikia ghafla
nakunifanya nijutie kukubali kuja
hapa kwake.
Tulibishana naye mpaka akazima
taa nakunifunga mdomo kwa
nguvu kisha akaniingilia nyuma
kwa kutumia nguvu zake
nakunifanya niishiwe nguvu na
pumzi nakumuacha anizidishie
maumivu..
Alipomaliza kunifanya..
"..Tina pole eeh, lakini utazoea
tu.."
Akiwa bado anaongea nilimuwahi
na bonge la kibao kisha
nikachukuwa nguo zangu
nakuongoza mpaka sebuleni na
nilipofika nikazivaa nguo zangu
haraka haraka,
Sikutaka hata kujua ni saa ngapi,
nilijipa moyo kuwa nitapata
daladala tu kwani Dar huwa
daladala haziishi. Ile nataka
kufungua tu mlango Jerry akawa
nayeye ameshafika sebuleni..
"..unakwenda wapi we malaya..?"
"..Jerry inamaana nimeshashuka
thamani na sasa hivi unaniita
malaya siyo..?"
"..we malaya tu, asa unachobisha
nini? Kama kukunanii tayari tena
kavu kavu, si mbele wala nyuma
mpumbavu mkubwa wee.."
Nilibakiwa na hasira kali rohoni,
nilimwangalia Jerry kwa jicho
lililojawa na ghadhabu kisha,
"...Jerry huu ni mwanzo tu picha
lenyewe bado linakuja.."
Nilimwambia kwa ukali kisha
nikafungua ule mlango wa
sebuleni nakuubamiza kisha
nikaenda mpaka getini mlinzi
akanifungulia nikatoka zangu nje
kabisa.
Sikuwa hata na mshipa wa aibu
na wala sikutaka hata kuangalia
pembeni zaidi kushika viatu
vyangu mkononi nakuongoza
mpaka kituoni..
Hakukuwa na hata dalili yoyote
ya daladala, nilikaa sana pale
kituoni mpaka bajaj ikapita
nikaipungia mkono,
"...hapa mpaka chuoni cbe sh.
Ngapi..?"
"..nipe elfu 5 twende.."
Sikuwa na njia yoyote zaidi ya
kutoka katika lile eneo huku
nikifungua pochi yangu kwani
hela ya kujilinda nilikuwa nayo..
"..lakini dada mbona unaonekana
kama si salama huko utokako?"
Alikuwa ni dereva wa kibajaji
akiniongelesha..
"..Wee mkaka embu koma,
maswali gani hayo unaniuliza.."
"..kwahiyo dada kujua ni vibaya
kwani..? Sura yako siyo ngeni
kabisa..?"
"..nadhani kazi ya kuendesha hiki
kibajaji imekushinda ila kufuatilia
watu ndio unaipenda..?"
"..lakini dada, jioni ya leo
nilikuona na Jerry mtata kwenye
gari yake mkiingia naye kwake
sasa ghafla nakuona upo kwenye
hali hiyo, na usiku sana.."
"..enhe kama ulituona tatizo lako
ni nini haswa..."
"..dah unajua nini 'aunt' yule Jerry
mtaa mzima anachukiwa
nakunyooshewa vidole nakila
mtu, Jerry ni malaya wa kutupwa
na anaukimwi anasambaza kwa
watu makusudi.."
"..embu achana na hizo stori
zisizo na kichwa wala miguu.."
"..sawa bwana, juzi tumetoka
kumzika Jamila... Na alikuwa
anatembea na Jerry huyo huyo,
pia Jerry akishajua
amekuambukiza hapo hapo
lazima akutimue kwake, yani ndio
mchezo wake huo.."
"...unasemajeee..?
"..sasa 'aunt' huniamini au..?"
"..embu chukuwa hela yako nishushe hapa hapa na endelea na safari yako.."
Maneno makali aliyokuwa amenijaza yule dereva wa bajaj, yalikuwa yameamsha hasira zangu upya, nilimpatia hela yake akaniacha mitaa ya pale 'Ocean road..
Nilijisogeza mpaka karibia na casino ya 'las Vegas' nikaingia pub moja inaitwa 'Jolly'..
"..nipe Savvanah dry ya baridi.."

Siku zote hasira zikinizidia huwa napenda kunywa pombe.
Mhudumu aliniletea nikanywa, nikaongeza ya mwisho nikanywa nakumpatia hela yake.
Nilivyomaliza nikaendelea kujikokota taratibu huku nikitafuta uelekeo wa chuoni kwetu. Hakukuwa na haja ya kukodi tena bajaj wala tax japokuwa zilikua nyingi pale nje huku nikiamini hata kama nitakodi yatakuwa tena yale yale aliyoniambia yule wa bajaj muda si mrefu..
Nikiwa ndio nakaribia kuingia chuoni mara simu yangu ikaita tena huku mlio ukitokea kwenye kipochi changu..
Haraka haraka nikaichukuwa nakuipokea..
"..hellow.."
"..jamani Tina hivi kweli leo umeniacha hivi hivi shosti wangu.."
"..yaani Aisha ni booora hata ningeondoka na wewe, kwanza hata hivyo nimeshafika hapa hostel nakuja kukupa yaliojiri huko shosti..
Nilipofika tu nilimtoa Aisha mpaka nje nakuanza kupiga naye stori usiku kutwa huku nikimficha kitendo alichonifanyia Jerry na hata sikumwambia kuwa Jerry kaathirika..
"Hiyo mbona kazi ndogo tu Tina, we cha mama, nipe namba yake ya simu kesho kesho atajuta kilichomtoa pemba nakuja bongo kufanya umalaya wake.., na hivi kesho wikiendi..? Mbona atapatikana tu shosti.."
Alisema Aisha kwa kujidai huku akinishika mkono nakuingia ndani kulala..
***
Je Tina zoazoa atakuwa amepata maambukizo ya ukimwi? Na kipi kitampata Mr Jerry?

SHARE ZAIDI TWENDE SAMBAMBA..
Previous Post
Next Post

0 Comments: