Thursday, October 31, 2019

#UJUMBE_WENYE_MWANGAZA

Mapenzi ni dawa ila pia ni sumu kali kama utayapa nafasi ya kuutesa moyo wako.

》》Unapokuwa kwenye mapenzi zingatia yafuatayo;

1. Usipende kupita kiasi.

2. Usiamini kupita kiasi.

3. Usitarajie kulipwa mema tu na umpendae.

4. Mapenzi usiyape nafasi kubwa sana hadi ukasahau kufanya mambo yatakayo kusaidia kwenye maisha yako.

Sasa wewe endekeza mapenzi tu utakuwa ni tajiri wa maumivu na kilio kila siku.

Embu anza kupambania ndoto zako ili utengeneze maisha yako maana kuna maisha baada ya mapenzi. Acha ujipa #stress na vitu visivyokuwa na faida kwenye maisha yako ya baadae.

Mapenzi ni dawa ila ni sumu kali kama utayapa nafasi ya kuutesa moyo wako.
Previous Post
Next Post

0 Comments: