Mwanadada Nicole ambaye kwa sasa anasumbua mitandao kutokana na Shepu yake .
. "Najishughuliasha na Kilimo ndio shughuli yangu naifanya huko mkoani Iringa ila naishi South Africa ambako nimepanga nyumba nalipa Sh Million 4 kwa mwezi na nimelipa kodi ya mwaka mzima na hapa Tanzania nimepanga nyumba nalipa Milioni 1.8 kwa mwezi"
Aidha Mwanadada huyu amewahi kuwa kwenye mahusiano na mchezaji wa team ya Taifa Ghana na klablu ya Chelsea Maichel Essien pia mrembo huyo ameweka wazi kuwa wanaume wengi wanamuogopa kwa kuhisi yeye anajiuza lakini sio kweli endapo angekuwa anajiuza bhasi hakuna mwanaume angeweza kumuda ghalama zake.
Kwa Kumuangalia Unahisi Pesa Anapata Kwa Njia Zipi? Tazama Video:

0 Comments: