EPISODE : 01.
Mwenzenu kwa jina naitwa Ant Zai, na wengine huniita mama Love. Napatikana Mburahati Mzambarauni jijini Dar es Salam, shughuli zangu wala sina haja ya kuwaficha, nauza pombe za kienyeji kwenye klabu iliyopo karibu na baa ya Ahsante Mama.
Aku sina haja ya kujifanya sijui nipo wizarani, sijui ni afisa TRA, mi najisemea ukweli wangu bwana na naithamini kazi yangu kwani ndiyo iliyonifanya nitambe hapa mjini.
Japo watu wengi hutuona sisi tunaofanya kazi za kuuza pombe ni malaya na hutushusha thamani, lakini mimi sijali kwani nimeamua kujitafutia riziki kwa jasho langu na hakuna siku niliyolala na njaa na ukiniona mwenyewe utakubali kuwa Mimi ni Anti Zai maana ni mwanamke niliyenona na kuyachanganya majibaba yenye uchu.
Yaani huwezi amini, mijibaba yenye fedha zao inapaki magari nje ya klabu chetu, inaingia ndani na kununulia pombe watu wengine ili mradi yapate nafasi ya kuongea na mimi kuhusu malavidavi.
Nami sijivungi nayachuna kisawasawa na tayari nina mjengo wangu wa vyumba sita maeneo ya Majohe, chezea mimi weee!
Sasa kuna mbaba mmoja alikuwa akija na bonge la Land Rover Discovery anayeitwa Taita ambaye yeye hujifanya ana cheo kikubwa sana kwenye wizara fulani, sijui kweli au sikweli atajua mwenyewe, mimi sina shida ya kujua cheo chake, cheo kitamsaidia yeye, mkewe, wanawe pamoja na ndugu zake, mimi ninachohitaji ni fedha tu.
Wala sio siri mbaba alikolea sana kwangu kwani siku ya kwanza alikujaga mteja wangu maarufu ambaye alikuwa mtu wa Iringa aliyekuwa akiitwa Chakalachui.
Yule mbaba aliponiona tu acha ajihangaishe, acha atoe mifedha ovyo... alinunua pombe yangu yote na kuigawa kwa watu wanywe wapendavyo huku yeye na Chakalachui wakijifanya kunywa bia. Wanaume bwana sijui nani aliyewaloga....
Nikamuangalia wala sijamkohoa..., sasa kama alikuwa akitaka bia, kilichomleta huku kwetu nini wakati kuna mabaa masafi yenye hadhi ya kukaa mtu kama yeye, iweje aje huku kwenye vibanda vichafu vinavyotoa harufu ya mimaji ya komoni?
Nikajua tu kuwa hana lolote, alikuwa amekolea kwangu. Mara Chakalachui akanijia na kuninong'oneza.
"Sasa mama Love huyu jamaaa mi ni rafiki yangu wa siku nyingi tulisoma darasa moja ila sema maisha tu mwenzangu mambo yake safi, lakini mimi bado nahangaika na dunia, sema Leo kanikumbuka na kuja kunitembelea"
Nikamtazama na kumwambia " We sema tu lililokuleta , unataka nini? Haina haja ya kuzunguka mimi mtu mzima bwana!......"
"Dah ! Kweli bwana , sasa jamaa kakupenda, anataka kama vipi muondoke mkatafute gesti mkapumzike"
"Hayo ndio maneno ya kusema, lakini si ana hela? Mi sitaki mtu wa kujisifu halafu akishakuchafua hana cha kukupa"
"Kuhusu suala la Mkwanja, hilo ondoa shaka. Jamaa ana mtonyo mpaka anaumwa, usipoteze bahati Zai, atakuachia mkwanja wa maana".
" Basi poa, nisubirini nikaoge, niulambe twende zetu" nikamwambia na kwenda kuoga chapchap ili nikachune buzi.
Siku hiyo kwangu ilikuwa ya bahati kwani SAA 12 jioni tayari nimeshaliza pombe yangu na kupata bahati ya kutoka na buzi. Suala la mkwanja hata mimi sikuwa na wasiwasi nalo maana jamaa kwa kweli alikuwa akinuka fedha.
Basi mwaya tukaenda mpaka maeneo ya Olando, tukajitosa kwenye kihoteli kikali kinachoitwa SAND TOWN MOTEL.
Baada ya kuingia chumbani akaagiza mipombe kibao na mikuku, tukawa tunakula na kunywa huku tukiwa kama tulivyozaliwa.
"Usiwe na wasiwasi mamaa, nataka nikufanyie mambo makubwa ili ujue kama mimi nina fedha za kutosha hahahahahaaaa" Alijigamba mbaba huyo huku vidole vyake vikipekecha pekecha kwenye tunda langu, kitendo ambacho kilikuwa kikinisisimua hasa kutokana na pombe nilizokuwa nimekunywa maana mimi mwenzenu nikinywa pombe huwa zinakimbilia chini na kujikuta nikitamani kupata mwanaume anisugue mpaka nione maluweluwe.
Basi tukaaanywa na baada ya kuchezeana sana tukajikuta tukipandwa na mzuka, tukaanza kuingia kwenye dimbwi la huba. Kwa kuwa nilishajua kuwa jamaa ana hela nikahakikisha nampa mchezo mpaka apagawe na mimi.
Nikampekekesha kwa mitindo mbakimbali hadi akawa anapiga kelele kama mtoto anayechapwa bakora na mama yake.
Kama haitoshi alipokuwa anaonesha kutaka kufika kileleni, nikatoa nanihii yake nikaanza kumuuliza " Vipi tamu mpenzieee!"
"Aaaa....mmm Tamu mpenzi sikuachi"
"Huniachi na mkeo utampeleka wapi? " nilimuuliza nikimbania sauti huku nanihii yake nikiijaza kinywani mwangu na kuanza kuimung'unya.
"Aaaa achana na habari zake, yeye atabaki kwake na wewe nakujengea nyumba yako, unachotakiwa kufanya tafuta kiwanja ukishakipata uje kuniambia, yote yaliyobaki utaniachia mimi"
Hapo nikaona yeees kajileta mwenyewe , kwa kumkoleza zaidi baaada ya nanihii yake kuitoka kinywani nikaielekeza kwa nyuma, nikaisuma kwa mkono ikaenda sentimita kadhaa . Nikaona akizidi kupagawa na kuongea lugha za kwao kama aliyekuwa akitaka kupandisha mashetani.
Je nini kiliendelea? USIKOSE SEHEMU YA PILI YA CHOMBEZO HILI LA MWENDOKASI.
0 Comments: