Sunday, September 29, 2019

Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe

Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe
Tokeo la picha la daktari
Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana.

Mama: Asanteni sana, sasa niwe nampa mara ngapi?
Dokta: Unatakiwa wewe uwe unakunywa vidonge hivi kutwa mara tatu kwa mwezi mzima, mumeo atapona.

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
V.gif
Continue reading

Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?

Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Tokeo la picha la mtoto
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele "mamaa" mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu "mama nimeota ndoto mbaya sana" ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu "nimeota tumefungua shule"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🌚🌚Kibaooooo nyau wewe
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
V.gif
Continue reading

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta

Tokeo la picha la fumanizi
Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake…. Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake. Siku moja umeme ulikuwa umekatika ikabidi aamue kuvua nguo kabisachumbani kwake…. Akanyata taratibua akafungua mlango akazama chumbani kwa mjomba ake bila kujua, ghafla umeme ukarudi… MJOMBA; we mshenzi umefata nini chumbani kwangu tena uko uchi JAMAA; nimekuja kukuaga kesho naondoka MJOMBA; ndo uje uchi? JAMAA; ndio kwasababu nimeshapaki kila kitu kwenye begi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
V.gif
Continue reading

Hali za ndoa

Tokeo la picha la babu afunga ndoa na mjukuu
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa
babaake, mwisho babaake akamwambia basi
ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi
hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu!

Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha
kikao cha ndugu wote pande 2,
Mzee akaanza kueleza jaman kijana wetu
anaumwa amepata ugonjwa wa utata hospital
zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga
wa jadi amenipa dawa na ina masharti, inatakiwa
atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye
ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu
alipoolewa ndo kijana wetu atapona!
Kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii
kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote!
Je kina mama nani ataandaa? Walitoka nje
wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake
mzazi wakatoka, akafata mama ake kijana,
mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia
wanaume peke yao! Mzee akamwambia
mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo?
Acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani
umejionea hali halisi.
Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako!
Kijana akazimia!
SOMA TENA KISHA MTUMIE NA MWENZIO.

πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
V.gif
Continue reading

Simu ilivyozua utata

Tokeo la picha la simu yaua
V.gif
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja unaempigia hapatikan kwa sasa…..
Continue reading

Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua

Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua
NIMEKAA NIKAWAZA KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVI  WAAFRIKA HATUYAJUI πŸ™‰
KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,πŸ‡ΊπŸ‡ΈWACHINAπŸ‡―πŸ‡΅ NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWA TUNAWAPITA KIMAENDELEO
MAMBO YENYEWE,,
No photo description available.
HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
V.gifV.gif
Continue reading

Hivi itakuwaje shetani akiokoka?

Maranyingi shetani hulaumiwa kwa mambo mengi..watu baada ya usalitiana utamskia msaliti akidai "nisamehe ni shetani tu alinipitia", yakitokea mauaji yyte ya kinyama utaskia watu wanadai "shetani kawa na nguvu sn sikuhizi" watu wanafanya unyang'anyi, wizi, ufisadi, n.k. yote utaambiwa ni "shetani" Sasa akiokoka huyu "master wa uovu itakuwajee??" Mimi naona DUNIANI HAKUTAKUWA NA DILI KABISA HUYU JAMAA AKIOKOKA.
Continue reading

Nani hapa anazingua wenzake?

Boss alimpigia simu secretary wake kwamba wanaenda trip wiki ijayo,secretary akampigia mme wake simu kwamba hatakwepo kwa wiki moja atakuwa yupo kwenye trip na boss.
mme wa secretary akampigia hawara wake simu kwamba aje nyumbani wawe pamoja mkewe kasafiri,hawara akampigia simu mwanafunzi wake anayemfundisha kwamba hatamfundisha mpaka baada ya wiki moja,mwanafunzi akampigia simu babu yake (boss),kwamba hamna shule kwahiyo atakuja nyumbani kwa wiki mmoja,boss akampigia simu secretary wake kwamba hamna trip tena,secretary akampigia mmewe kwamba trip imeahirishwa,mme akampigia simu hawara kwamba asije mmke kaahirisha safari,hawara akampigia mwanafunzi wake kwamba shule ipo kama kawaida,mwanafunzi akampigia babu(boss) kwamba siji tena shule kama kawaida ipo.Boss akampigia tena secretary kwamba tuna trip kama kawaida.
Continue reading

Huu ni utani au kweli?

Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba huku akitweta kwa hasira. Walipofika ilikua hivi: Mzee,wewe ndio ulimpa mimba bint yangu?
KIJANA: Mzee ni kweli mimi nimempa mimba binti yako, ila akizaa wakiume nitakupa daladala 3, sheli 1 na milioni 50 za mtaji. Akizaa wakike, nitakupa supermarket 1, mashamba 2 na milioni 40.
BINTI AKADAKIA: Je mimba ikitoka?
MZEE: Nyamaza mshenz ww, si atakupa nyingine...
chezea pesa?
Continue reading

UNGEKUWA BABA WA HUYU MTOTO UNGEMFANYAJE?

UNGEKUWA BABA WA HUYU MTOTO UNGEMFANYAJE?
baba : niletee soda we mtoto
mtoto : pepsi or coka?
baba : pepsi
mtoto : ya kopo ya chupa?
baba : ya kopo
mtoto : ya baridi or yamoto?
baba : hee! we mtoto mbona maswali mengi....basi bwana ni letee maji tu
mtoto : ya hapa hom or nika nunue kwa shop?
baba : ya hapa hapa
mtoto : ya baridi ya moto? baba : ya baridi
mtoto : kwenye glasi or kikombe?
baba : ntakupiga na ufagio we mtoto
mtoto :ufagio wa chelewa or wa mti? baba : ntakuuwa we mtoto
mtoto : uta uwaje utanichoma kisu or utanipiga na bastola?
baba :ntakupiga na bastola
mtoto : kichwani or tumboni? baba : kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
mtoto : saivi au baadae kidogo?
baba : sasa ivi mtoto : maji hutaki?

Image result for mtoto comedy
Continue reading